|
Mahubiri makubwa ya hadhala yamefanyika katika jiji la Mbeya yaliyoendeshwa na Mch. Musa Mika ambaye ni mkurugenzi wa idara ya mawasiliano wa kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania.Mahubiri hayo yameendeshwa na mitaa minne ya jiji la Mbeya . jumla ya watu 158 wamebatizwa. Mahubiri hayo yalidumu kwa jumla ya siku 21 tangu tarehe 22 hadi 12 Novemba 2011.
|



